iqna

IQNA

muujiza katka qurani
Ukweli katika Qur'ani Tukufu / 8
TEHRAN (IQNA) – Kuna uwiano maridadi katika maumbile katika maeneo mbalimbali, kwa mfano kati ya kiasi cha oksijeni anachopokea binadamu na kiasi kinachotolewa na mimea na pia kati ya kaboni dioksidi iliyotolewa na binadamu na ile inayotumiwa na mimea.
Habari ID: 3476190    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03